Connect with our vibrant community of Entrepreneurs

Habibu Ally Mapande, Mapande Agriculture Advantage

Habibu Ally Mapande

Mapande Agriculture Advantage

Tanzania

About Company

Name: Mapande agriculture advantage. Ni kampuni ndogo inayo juhusha moja kwa moja kwenye sekta ya kilimo chenye cheni ya samani. Ambayo ni. Kilimo endelevu kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Ungezaji wa samani wa maazao yatokanayo na kilimo. Usimamizi na utoaji wa elimu juu ya kulima kwa tija. Uhifazi wa chakula kinga njaa